picha zifuatazo ni mshindi na rais mpya wa kenya uhur kenyatta ambaye amemshinda mpinzani wake raila omole odinga hata hivyo raila amekataa matokeo hayo ya urais kwa kudai yalikuwa na udanganyifu akitegemea tume iliyoundwa mwaka 2008 ingekuwa huru lakini imekua ndivyo sivyo na akiaahidi kuendeleza amani ya kenya na kukimbilia mahakamani akiamini ndipo ukweli utakapopatikan hata hivyo kwa upande wa makamu wa rais mteule mheshimiwa willium ruto amewashukuru wakenya kwa kuwachagua na kuwaambia wategemee mazuri mengi kutokana kwao
picha juu ni mrengwa wa chama cha cord aliyeshindwa uchaguzi na kukataa matokeo
mheshimiwa ruto willium makamu mteule wa kenya picha juu na chini
rais mteule akipiga kura kipindi cha uchaguzi chini akihutubia
No comments:
Post a Comment