Saturday, 30 March 2013

WARAKA WA MH LEMA KWA RAIS KIKWETE

PICHA IKIMUONESHA MHESHIMIWA LEMA AKIWA AMESHIKA CD
 
 
 
 
Mheshimiwa mbunge Wa Arusha kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo akiwa ameshika cd yenye warake wa Rais Kikwete

."Mmii najiuliza wanaweza vipi kufanya Siasa za Ukanda na Ukabila wakati wao wenyewe ni familia moja ?.


WAKATI mwingine unapaswa kupewa pole na kuombewa na kufanyiwa dua kwani wewe ndie unatumikia ofisi kubwa kuliko zote Nchini na wakati huo huo unapaswa kupewa hongera kufikia malengo yako hayo ya kutumikia ofisi kubwa na ya Heshima kuliko zote Nchini.
Kwa mfano , Mh Mwigulu Nchemba , Mh David Mathayo , Mh January Makamba , Mh Benjamin Mkapa , Mh Fredrik Sumaye , Mh Theo , Mh Dr Faustin Ndungulile , Mh Prof Ibrahimu Lipumba , Pro Mahalu , Mh Dr Hamis Kigwangala , Mh John Mgufuli , Mh Sospeter Muhongo , Mh Jaji Warioba, Idd Simba, Mh Salmin Amour , na wengine wengi wote hawa wameoa Kilimanjaro .
Sasa unajiuliza hawa wote ni Viongozi ndani ya CCM na wengine ndio mabingwa wa kufanya Siasa za Udini na Ukanda , je wake zao ndani ya nyumba wanajisikiaje wanapoona waume zao wanatukana kabila za ndugu zao kwa sababu ya Siasa ?.



Hii ni hatari kubwa Mh Rais kama kuchinja ni suala zito kiasi hicho katika Imani ya Kiislamu na pia ni neno kutoka katika Kitabu cha Imani yao basi ni haki na kweli kuwa wao wanapaswa kuchinja kwa Imani ya Dini yao na wala wasilazimishwe kumkosea Mungu wao kwani hakuna maarifa na busara inayozidi imani, lakini vile vile Wakristo wasilazimishwe kushiriki Ibada ambayo sio yao.
Waislamu kama wanaamini kuwa wao kuchinja ndio jambo lililoamrishwa katika vitabu vyao basi sasa jambo hilo liheshimiwe na kutafutiwa utaratibu na vile vile Wakristo wasipuuzwe kugoma kushiriki jambo ambalo kwa wengine lina sura ya Imani."
Nini Kifanyike?






HAYO NDIYO YALIYOJIRI HABARI HII PIA UNAWEZA KUIPATA WWW.HABARIMPYA.COM AU FACEBOOK KUPITIA CHADEMA VS CCM GROUP. NA MENGINEYO MENGI ENDELEA KUSHIRIKIANA NASI KUJARIBU KUPERUZI HABARI MBALI MBALI NA KUZIDI KUIMARIKA KATIKA SEKTA MUHIMU YA HABARI.NA MUDA SIO MREFU TUTAWALETEA HABARI AMBAYO ULIKUWA HUJUI KUHUSU WHO IS FREMASONS AND ILLUMINANTI THE DIFFERENCES BETWEEN FREEMASONS AND ILLUMINANT DO YOU KNOW FREEMSONS DOES NOT TAKE WOMAN UNLIKE ILLUMINANT WHO TAKES BOTH MEN AND WOMEN?DO YOU KNOW WHO ARE MEMBERS OF ILLUMINANT AND FREEMASONS CONTINUE TO VISIT THIS BLOG YOU WILL GET TO KNOW ALL............................... ALSO  FOR  DIFFERENT ISSUES YOU CAN FIND US IN OUR EMAIL FREDYMTUNGUJA@GMAIL.COM OR FREDYMTUNGUJA@YAHOO.COM




THE THING TO NOTE IS THAT STILL OUR BLOG IS UNDER MODIFICATION SO THE ONLY IMPORTANT ISSUE IS YOU TO GET LATEST NEWS SO FAR YOU MIGHT GET FROM OTHER SOURCE TEKEROO ALL MY FANS  I NEED YOUR SUPPORT GUYS YOUR THE ALL WHAT I HAVE

   

 
 
 

 

No comments:

Post a Comment