Mwanamitindo mtanzania aishiye uingereza amemshutumu mbunge wa kaskazini Mheshimiwa Godbless Lema kwa kusema alimbaka nchini uingereza. Aidha mrembo huyo alifunguka kwa kusema".
FLORA LYIMO NIMEJIANDIKA USONI KUBAKWA NA GODBLESS
LEMA MBUNGE WA ARUSHA TANZANIA NA ALIKUWA KARIBIA KUNIUWA' NA
NILICHOAMBULIA KWA WATANZANIA WENZANGU NI MATUSI KWA KUTAKA HAKI
ITENDEKE'WOTE MLONITUKANA MACHOZI YANGU YAMETIRIRIKIA MWILINI MWENU NA
MUNGU NDIE MWENYE KUWAPA ADHABU YENU 'KWANI MIMI MATUSI YENU NIMEAMUA
KUYABEBA KWA AJILI YA KUPINGA RAPE IN THE WORLD AND NOT FOR JUST
WATANZANIA PEKE YAKE" ALL I WANT IS JUSTICE AND I WANT IT NOW"NOTHING
GOING TO STOP ME NOW" aliendelea kusema
MTANZANIA ALISI NI YULE MWENYE KUTETE HAKI KWA WOTE MKUBWA KWA MDOGO NA ASOOGOPA KUFA KUTAKA HAKI" picha chini ni mwanamitindo anayemshutumu mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema
Juu ni picha yake akiwa katika pozi na bendera ya Tanzania nchini Uingereza
No comments:
Post a Comment